Unajifanya bingwa wa kupenda dada. Kumbe mbingwa wa kutenda kuliko kutenda. Tena unataka sifa ya kuogopwa Kama defender. Umeua wengine ila kwangu umedunda. Sitaki nizikwa na kilo mbili kwenye mfuko mama. Sitaki familia ilie sababu yako dada.... Huu muziki umeimbwa nao yamoto band na unaitwa nitakupwelepweta. Inakuanga maneno mazito kweli. See the video
No comments:
Post a Comment
Leave a comment