Wednesday, 22 April 2015

Bongo la biashara- Juacali ft Mejja lyrics

Artist: Jua Cali ft. Mejja
Song: Bongo la Biashara
Intro (Jua Cali) Bongo la biashara Au sio. Black market. Ama vile watu wa mtaani waiita Mra
Verse 1 (Jua cali) Naweza kupitia leo nikuonyeshe ile kitu. Time gani ni poa majioni ama usiku. Ni laptop noma ki – 14 inch hivi. Ma wires ziko na screen yake ni fiti Saa ile CD changer ulisema aje? Niite mtu wa sound aiweke kwa gari. Kwenye woofer na ma-chrome,Technology noma iongezee i-pod. Tape madirisha basi uache mezesha. Vuta kioo juu kuna moto nataka kukuonyesha. Ah uko na shughuli, baadaye basi. Kuna mtu hapa lazima nimfungie kambi.Nasikia uko na simu noma Gova akitokea utaniona.Chali yangu naenda Garissa. Hujasikia madolari mi ndio hubadilisha Bei ya kutupa kiu-seventy Baadaye nikute ngazini juu ya miti, mogoka.Chali yangu tumefunga base tuonane kesho
Chorus Ni ya leo, Ni ya leo.Tunaziuza hamsini.Ni ya leo, Ni ya leo. Tumezifungua tu saa hizi.Ni ya leo, Ni ya leo Wee jichukulie yako Ni ya leo, Ni ya leo Kwenye viatu na mng’aro
Verse 2 (Mejja)Niaje mathee, Niaje mathee.Siku ya futari ulikuwa na shida ya sufuria Niko nazo lakini wee ntakuuzia tu mia mia.Utatumia tu steel wool ya kutoa hizi alama. Lakini hizo alama zinakaa za kina Amina Ah si unajua vitu zingine mathee hufanana Ntakupitia jioni ah jo! Niaje Johnny!Si unajua ule fala alinipatia burungo flani Ati nikuwe broker Nitampiga bafu amesahau broker hugeuka Mwishowe akuwe the owner Ngoja ataona Wee niaje niko na rangi ya nyumba Wee tafuta sonko na mahali tunaeza uza Ama tutumie ka face-painting.Tupake watoi bora tu tupate senti Unakaa umesota Unakaa lituni Si unibebeshee hizi mbao tukauze ka kuni Au uko na cd ndani ya nyumba zimeharibikaTunaenza wadanganya hizi ni za mtambauka Ama twende ghettoTufungue kibandaTuwauzie kahawa nakuonyesha itawabamba Si ndalasini si karafuu.Tutawachanganyishia zote waskie nafuu Kisha ikishawabamba Si unajua nini inafuata Kuwasanyia njumu na mambota Washindwe ni mogoka imeshika ama ni kuota Wakishika ujanja, car wash tunaanza Kwa ile hali ya kuosha Rim inapotea Side mirror inapotea tenje inapotea Makarao wakikuja Gari inabembea
Chorus Ni ya leo, Ni ya leo Tunaziuza hamsini Ni ya leo, Ni ya leo Tumezifungua tu saa hizi Ni ya leo, Ni ya leo Wee jichukulie yako Ni ya leo, Ni ya leo Kwenye viatu na mng’aro

No comments:

Post a Comment

Leave a comment