Thursday, 10 September 2015

Mwema by Mercy Masika (Lyrics)

Mwema- Mercy Masika Lyrics
Verse 1
Wako mwana, ukamtuma ,duniani, kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishara kwamba unanipenda zaidi ivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi

Chorus
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Umekua mwema kwangu,
Verse 2
Umanitoa gizani , nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia.Ilikugharimu , msalabani unifie.
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie.
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue.
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne

Chorus
Na siwezi jizuia ,kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema

Bridge
Umekua mwema kwangu, wachaniringe
Umekua mwema kwangu, ooh yahwe kwangu, ooh umenitendea
Na siwezi jizuia ,kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Siwezi jizuia

Sunday, 5 July 2015

Vanity Lyrics (hashtag) By Daddy Owen

Artist: Daddy Owen
Song: Vanity (lyrics)
VERSE 1
Namuona na gari kubwa kuliko shida zake,
Namuona na wanawake
Alisema hakuna mungu watu wajipange,Anadhani ni nguvu zake
Akigonjeka dakitari anatoka ng’ambo, Akiboeka hapo utaona mambo
Maombi kwake ni kelele,
Ndio nimeona nikueleze,
Ooh hashtag #NEBUCCHADNEZZAR
Sauli pia atakueleza

CHORUS:
Nasema Hashtag#NEBUCCHADNEZZAR
Haijalishi yale umeweza
(Yote ni VANITY Ooh Ohh VANITY Ooh
Bila Yesu ni VANITY Ooh Ooh Vanity.. X2)

Verse 2
Namuona na sketi fupi kuliko Miaka yake,
Anataka Tumeze Mate
Alisema mmoja hawezi zima moto wake,Ana wanaume wanane
Haumpati Kanisani,
Ila ile siku ya Harambee ,
Ya Asusu Asusu Eh, Asusu..
Haamini Mungu Yuko,
Ye Husema Atalishwa na Matunda Ya Usupu,
Usupu  Eh , Usupu

CHORUS:
Nasema Hashtag#NEBUCCHADNEZZAR,
Haijalishi yale umeweza,
Yote ni VANITY Ooh Ohh VANITY Ooh
(Bila Yesu ni VANITY Ooh Ooh Vanity.. X2)

Verse 3
Usimdharau Binadamu Mwenzio,
Kuwa Eti Wewe Una pesa,
Mali na Magari,
Haya Yote Ni Ubatili,
Shukuru Mungu Kwa Uhai
Usijisifu Sana Na Huu Mwili
Huu Mwili Ni Chakula Cha Mchwa
(Yote ni VANITY Ooh Ohh VANITY Ooh Bila Yesu ni VANITY Ooh Ooh Vanity.. X2) Vanity,Vanity Mbele za Bwana x2
Ubatili Mbele za Mungu Tuache Kaa, Kaa, Kaa Vizuri..
Mbele Za Mungu Kaa, Kaa, Kaa Vyema..
Mbele Za Bwana Vanity, Vanity

Monday, 29 June 2015

What Everybody Oughts to Know About the Letter Sudiboy and Jaguar Wrote to the President

Have you ever thought of writing a letter to your president or maybe to your MP your governor or any person of that class? If you have, what how was the content? What drove you to write the letter? Did you get a reply? I wish I could get a reply. Im so curious.

When we hear that an ordinary person wrote a letter to the president a lot of rhetoric questions come on our minds.

As you imagine of that I will let you know that jaguar and sudiboy wrote a letter to the president through a song called "BARUA KWA RAIS".
The single was released a few months before and its doing well and people love it.

They sing about the poverty that the citizens are going through, corruption, insecurity and many more things. They say that despite all that they love the president.

So this was a song dedicated to the president but not a direct letter.

This is Why Jaguar Told Uhuru Kenyatta That He Will Resign

We all know that jaguar was appointed by the president as the Nacada ambassador. This came as a surprise to many of us since no one thought that such a thing could happen.

If you are a good fun of jaguar or Kenyan musica too, you should be aware that jaguar and president Uhuru are great friends. We have seen the together many times.

Early last week, disagreement and cold war was observed in Nacada leadership where john mututho the Nacada chairman claimed their is corruption in Nacada and went ahead and suspended some workers for investigations to be carried out. This led to a lot of rejection from the other board members saying that mututho didn't follow the correct channel of suspending the workers.

Today jaguar opened up and talked of what is going on in Nacada. He said that there is corruption going on among some of the members and asked the cabinet secretary in charge of security to address the issue. He said that he sent the president a message and told him that if the problem is not investigated within a period of two weeks he will resign. He also said that he dont want to be associated with a board which is accused of being corrupt because doing so he will be letting down the president who appointed him.
You may also like What Everybody Oughts to Know About the Letter Sudiboy and Jaguar Wrote to the President

Tuesday, 23 June 2015

Comedian Eric Omondi Lands a New Job

He is one of the greatest and most talented comedian kenya has ever had. Eric omondi who is a comedian and lately has started singing too, today woke up with blessings.

He has been appointed as the Rhino ambassador by the kenya wild life services (KWS), a job that he has accepted.

He posted photos of himself on social media on full KWS uniform ready to exercise in full swing the authorities and powers delegated to him this morning.


























It has been reported that poachers are on toes to hunt rhinos and other wildlife animals like elephants. This has reduced the number of rhinos in kenya. Eric has vowed that he will protect the black and white rhinos.


























"Ericomondi Thank you Kenya Wildlife Service and Lake Nakuru National Park for the appointment as Rhino Ambassador, this is a noble HONOR.I promise to do all it takes to protect the highly endangered Black and White Rhinos. This work begins NOW and will not stop. Ladies and gentlemen the Rhinos you see at the background are white Rhinos namely from left: Kora,Ntukai,Mutua,Fiale,Awino&Rose. #ProtectTheRhino #WeWillNotLooseAnotherRhino #TheRhinoHornIsNotMedicinal"

Monday, 8 June 2015

kenyans fly willy paul on the post he published on his instagram account after loosing on groove awards

Groove awards were held last saturday at the safaricom kasarani indoor arena. the event was well organised and all went well up to the end. 

As usual there were winners and losers in the game but the most awaited announcement was the post of the male artist of the year where Bahati and willy paul were on the draw. 
Bahati won the title as many kenyans expected.
Bahati won four awards i.e. male artist of the year, video of the year (barua), song of the year (barua) and his songs being the most downloaded as skiza tunes.

Later on Willy paul posted a pic on hi instagram account congratulating those who won.
Groove was awsome congrats to all the winners
Even though he conceded defeat, kenyans on social media went on to roast him whatsoever.
Some told him that he should learn from his own mistakes, others asked him to quit gospel music and go secular and many many more negative comments.

my opinion is that people should leave willi alone and let him live in peace. 

singer Jaguar to be a daddy, again

He is commonly known for his kigeugeu and kioo son.
Charles kanyi also known as Jaguar is expected to a daddy with a fourth baby.

his fourth baby mum is Mercy nyambura.

we got the news after some of her girlfriends visited her and posted congratulation messages and pictures on facebook.
 See also Eric Omondi Lands a New Job

Sunday, 7 June 2015

Thursday, 4 June 2015

Another star gone. Ino ni momo singer (murimi wa kahalf) passes on.

Kenyan music industry looses another superstar.
Murimi wa kahalf who is known by his song ino ni momo passes away.
The cause of his death is not clear but once we know we will let you know.
As lovers for Kenyan musica, we pass our condolences to his family and to all his fans too.


He gives and he takes. In this world you have left but in our heart you remain forever.
May his soul rest in peace

Monday, 1 June 2015

Collonel Mustafa releases the most controversial video and guess who is the Video vixen!!! A politician's girlfriend.

Kenyan artists are taking Kenyan music to another level especially through videos. Most of the videos have been banned from playing on Kenyan tv channels. The most recent video being that of Mustafa (Dodoma singida and pinduka)
Singer Collo has been in headlines lately for all the wrong reasons. This is all about his most controversial video he produced the other day.
see also 15 reasons why you should choose a lazy person to work for you
The video is featuring a politician's girlfriend which has also brought alot of problems. Colonel said. That he had been offered ksh 700, 000 to trash the original video and do another one because of the video vixen. see also alaine and churchill sing for wafula
Colonel went on and released the video.
Im telling you that the video is soo.... Eeh
Its soo far the most ratchet and controversial video to ever play in 254.
It will never be played on TV.
Some Kenyan say there is nothing he sings but repeating a few lines and this has disgusted some of those who have had a chance to watch the video on YouTube
However others say that this is one of the best hits Mustafa has ever done.
The video has captions like these..

Mapepo lyrics by visita

ARTIST: Visita
SONG: Mapepo
PRODUCTION: Grandpa Records
YEAR: 2014

Verse 1:
Tulifanya Harusi Jana, Na Leo Tushakosana (Hayo Ni Mapepo),
Hatujawahi Ahemmmmm, Na Tayari Ako Na Mimba, (Hayo Ni Mapepo)
Mrembo Sikujikondesha, Upendwe Na Nani Kaa Unaringa, (Hayo Ni Mapepo)
Ati Unataka Tu Ma Sonko, Na Ma Celeb, Watu Wana Dinga, Hayo Ni Mapepo (Hayo Ni Mapepo)
Asha Nipunguzia Sifa (Hayo Ni Mapepo) Na Bado Anadaisha Pete (Hayo Ni Mapepo)
Anasema Mi Ni Bastola Bila Risasi, Njoroge Ni Machete (Hayo Ni Mapepo)
Usidharau Kiwete (Hayo Ni Mapepo)
Maringo Usilete (Hayo Ni Mapepo)
Madharu Ya Nini, Na Mimi Na Wewe Tumetoka Chini Kaa Roots Za Miti,

Chorus:
Fukuza Mapepo, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza Mapepo, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza, Riswa,
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,

Verse2:
Bibi Yako Ka Shughulika, Analeta Perepepe (Hayo Ni Mapepo)
Anapika Na Kameshika, Unampimia Unga, Vipi? (Hayo Ni Mapepo)
Unamtesa Amevumilia, Unajida Umemea Pembe, (Hayo Ni Mapepo)
Kazi Kwako Nikulewa Ukirudi Nyumbani Unadai Sembe (Hayo Ni Mapepo)
Kanakuonyesha Madharau (Hayo Ni Mapepo)
Vumilia Usijali (Hayo Ni Mapepo)
Siku Moja Atakuja Ku Learn The Hard Way, Mwenyewe Ajiambie, (Hayo Ni Mapepo)
Usitusi Mzazi (Hayo Ni Mapepo)
Usidharau Manzi (Hayo Ni Mapepo)
Na Mtu Wangu Ukiendelea Ndio Utajua Uko Na Shetani,
Na Hayo Ni Ma.....

Chorus:
Fukuza Mapepo, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza Mapepo, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza, Riswa,
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza Mapepo, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza Mapepo, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,
Fukuza, Riswa,
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa
Fukuza, Riswa, Ki Kipchoge,
Fukuza Mapepo, Riswa,

Nerea lyrics- sauti sol ft Amos and Josh
















ARTIST: Sauti Sol ft Amos & Josh
SONG: Nerea
PRODUCTION Sauti Sol Entertainment
YEAR: 2015
Verse 1 (Delvin):
Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
(Bien):
Huenda Akawa Obama, Atawale Amerika,
Huenda Akawa Lupita, Oscar Nazo
Akashinda,
(Amos):
Huenda Akawa Wanyama, Acheze Soka
Uingereza, Huenda Akawa Kenyatta,
Mwanzilishi Wa Taifa, Nakuomba Nerea,
Usitoe Mimba Yangu We, Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake, Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,Mungu Akileta
Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
(Josh):
Huenda Akawa Maathai, Ayalinde Mazingira,
Huenda Akawa Makeba, Nyimbo Nzuri Akatunga,
(Chimano):
Huenda Akawa Nyerere, Aongoze Tanzania,
Huenda Akawa Mandela, Mkombozi Wa
Taifa, Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba
Yangu We, Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake, Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
Nakuomba Nerea, Nerea, Nerea,
Usitoe Mimba Yangu,
Nerea, Nerea, Nerea
Usitoe Mimba Yangu,
Huenda Akawa Kagame (Atawale)
Jaramogi Odinga (Tuungane)
Huenda Akawa Tom Mboya
Huenda Akawa Rudisha,
Huenda Akawa Malaika, Mungu Ametupatia,
Huenda Akawa Sauti Sol,
Huenda Akawa Amos & Josh.... Huenda Akawa....... Huenda Akawa Malaika, Mungu Ametupatia..

Saturday, 30 May 2015

Alaine and Churchill sings for Wafula

Shes a Jamaican lady who sang the song nakupenda pia" with wyre.
Alaine has alot of fun in Kenya. When she performed in Kenya last year alot of people turned up for her concert and I think this is because she has done a song with a Kenya artist wyre.
Many Kenyans know her as a social lady who like joking and always happy.

This can be evidenced from the interviews she attended on different tv channels and radio station when she visited Kenya.
Lately,
 Alaine has done a song featuring Churchill called "wafulaShe say that Shes searching for wafula.
 Kenyans are very happy about the song and many who have heard it are talking about it through social media platforms.
I know many will love the musica after hearing it.

Thursday, 28 May 2015

see the blessings singer benachi received

He is one of the celebrated gospel artist in kenya. A down to earth guy who we have never hear with controversies. 
The “Nitembelee” singer received probably the best news of his life after he obtained a visa to visit the USA following an invite by Talanta Awards USA after winning the Best Songwriter Award 2014 at the recently concluded Talanta Awards – Kenyan chapter.
Benachi has been patient for very long for an award and his big break came when the celebrated awards took place in Kenya in April. He had previously been nominated for various awards with all his songs but it was during the Talanta Awards that he received his first ever accolade for his talent after being recognized as the Best Songwriter.
Seeing how talented and humble Benachi is, Talanta Awards founder, Ms Meggie Waruri, invited him for a series of performances in the US. She speaks of him as, “…the most humble artist she has dealt with; very genuine, a true worshipper, clean record and his reputation is impeccable.”
“I spent time with him and could tell how disciplined an individual he is. His songs have deep substance that goes a long way to define his heart,” added Ms Waruri.
Talanta Awards is the only talent search and mentorship programme that awards based on genuine talent and not popular vote. The programme is also one of its kind in that artistes who have gone through the mentorship of Ms Waruri are given an exposure like no other; from USA tours to high level platforms to showcase their God-given talents.
Benachi is going to the States for the Boston Edition of Talanta talent search slated for July 10th through to 12th.
Meanwhile, the 15 finalists of the Kenyan Edition have recorded a masterpiece and the song is expected to hit the airwaves soon. For some of them, that was their first time in Nairobi and 95% of them had never been into a studio’s recording booth.
We wish Benachi Godspeed.

Sunday, 24 May 2015

15 reasons why lazy people are the smartest

If you hated lazy people, after reading this article you are going to make them you next business partners and advisers too.....
15 reasons why lazy people are the smartest
1. They find the easiest, most convenient and brilliant ways to do things
2. They have an easy alternative for everything that they’re supposed to do eg. Something that doesn’t demand you to move.
3. Their definition, of being moderately active, may be different from everyone else. Like running to the washroom when your bladder gives up on you.
4. Their business ideas can be worth applauding. "Let’s invent something which wouldn’t want us to work at all, like at all."
5. They will have access to smartest applications, tools, products, technologies, ideas to do things at the last minute and never be late. No wonder !! Go check their phone.
6. When it comes to being creative, you’ll be surprised to see the functionality of things you never thought of.
7. They can handle things to the extreme levels until it is terribly necessary => Holding the pee, waiting for someone to turn on the fan, lying hungry for hours, watching a boring channel etc...So don’t you dare call them impatient.
8. Multi tasking is something they are really good at. Like sleeping and talking on the call.
9. They are likely to remember all the shortcuts by heart because that’s how they live their life, on shortcuts.

Thursday, 21 May 2015

Who is Irene Stefani

Venerable Irene Stefani (22 August 1891 - 31 October 1930), born Aurelia Mercede Stefani, was a Roman Catholic Italian nun and a member of the Consolata Missionary Sisters.
She assumed the name "Irene" upon entrance into that order.Stefani was cleared for beatification in 2014 after a miracle found to have been attributed to her intercession was ratified, and she will be beatified on 23 May 2015 in Nyeri.
[1]Biography Aurelia Mercede S was born in 1891 inthe small village of Anfo. Stefani joined the Consolata Missionary Sisters in 1911 and became a professed member of that order in 1914 prior to the beginning of World War I. Upon entering the order, she took the name of "Irene".
That same year, she was sent by Blessed Joseph Allomano to go to Kenya, where she arrived in January 1915.
Stefani served as a nurse in Kenya and became well known and well regarded among the people that she served. This earned her the nickname "Nyaatha", which is a name literally translated as "a person of mercy". In1930, Stefani contracted a disease off of the patients she was treating and died to this disease on 31 October 1930.

Wednesday, 20 May 2015

East african Celebs congratulates sauti sol for bet nomination

Sauti Sol are the only East African artistes nominated in the Best African Act : Africa category facing off with Fally Ipupa (DR Congo), AKA (South Africa), Sarkodie (Ghana), The Soil (South Afrca), Stone Bwoy (Ghana), Wizkid (Nigeria) and Yemi Alade (Nigeria).Coincidentally, Sauti Sol are leaving the country for their USA Tour that will last a couple of weeks.They took to all their social media platforms to break the news and express their joy and gratitude:“Thank you God, #SolGeneration. This is for Kenya, East Africa and Africa. We are deeply humbled. The journey has began #SautiSol4BET#RoadToBETAwards15” posted SautiSol adding that, “It’s not about East or West. Just Africa. Congrats to fellow nominees.”Tanzania's superstar and former BET nominee Diamond Platnumz was quick to congratulate the Sura Yako hit-makers and adding, "Trust me! This award is coming East now! Mwenyezi Mungu tusmamie...."

Thursday, 14 May 2015

Diamond talks about the collabo with gospel artists Willy

Diamond has finally talked about the type of song they are going to make with Willy Paul.
Many people were wondering if the two will make a love song or a gospel song given that Willy Paul is a is agospel artist while diamond sings secular music.
Moreso if Willy opts for a gospel song will diamond be okay with that and we know That he is a Muslim??
Mzazi Willy m Tuva (a citizen radio presenter) interviewed diamond and diamond made it clear that he is ready to make any kind of song. He said he sees no problem in singing a gospel song.
Now lets relax and wait for the hit from these stars.

Wednesday, 13 May 2015

Is Willy Paul quitting gospel music??

It now clear that Willy Paul and Diamond platimumz are set to release a single together.
This is after Willy Paul asked diamond if they can make a collabo through. Mzazi Willy m tuva.
The kitanzi singer aproached Tuva and asked him to connect him to diamond. Tuva accepted the request and connected him with diamond.
Diamond accepted the request and they are set to make a single.
The question Im many people's mind is, if he will make a gospel song or a secular song. And if it a gospel will diamond accept provided that diamond is a Muslim and Willy Paul is a Christian. Is this possible?? Keep in touch for the answer to this..

Tuesday, 12 May 2015

Juacali reveals the mother of his son on mothers day

He is one of the Pioneers of local music in Kenya. He has made many songs like Kiasi, kwaheri, biashara and many other songs.
Many have been wondering if Juacali is taken and others yearning to see the mother of his son.
The genge singer Juakali did as many Kenyans did on Sunday. That is, to celebrate mothers day in style by posting pictures of their mums and their fiancees too.
For the first time he posted a photo of his wife and son. So for those who didnt know (especially ladies) the guy is taken.

Monday, 11 May 2015

Gloria muliro msaidizi lyrics














Tuma Baba tumamsaidizi x2 Tuma Yesu, tuma msaidizi x2
Yesu uliahidi wanafunzi wako
Kwamba hautawaacha
kama yatima
Bali utawatumia msaidizi
Awafunze, awape nguvu
Awafariji mioyo
Nami naja mbele zako
Baba niko mbele zako
Naomba unitumie msaidizi
Anifunze, anipe nguvu
Aniongoze kwa kazi yako
Baba tuma msaidizi
Tuma msaidizi
Naomba Baba, nisaidie
Nataka nguvu mpya
Kila usiku ninapoenda kulala
Nafungua bila mpango ukurasa wowote
Ninasoma mistari michache tu naanza sinzia
Nafunga Biblia naanza kuomba
Kinachofuata naamka asubuhi kusema amina
Baba nisaidie,Tuma nguvu zako, Tuma uwezo wako
Tuma roho wako ndani yangu Baba(Refrain)Naomba, Nataka nguvu
Baba mimi siwezi chochote bila wewe
Naomba nguvu zako
Baba(Refrain)Baba tuma, Nakuomba Baba,Tuma roho wako ndani yangu
Anifunze, aniongoze, anitawale
Mienenendo yangu aitawale
Maombi yangu, kufunga kwangu aitawale
Naomba tuma Baba
Roho wako anifunze neno/ aombe/aimbe ndani yangu

Sunday, 10 May 2015

Is Alikiba dating Diamonds exgirlfriend??

Word has been going round that Tanzanian singer, Ali Kiba, is secretly dating Diamond Platnumz’ ex-girlfriend, Jokate Mwegelo says Bongo5.com.
The two are said to have been secretly seeing each other for a while now.

"Yes I do," singer Daddy Owen will soon say this to Faridah Wambui.

Kenya’s gospel singer, Daddy Owen, islset to make it official that he is no longer single but engaged to his long-term fiancee, Faridah Wambui.

The top-rated gospel singer took to his official twitter handle, @daddyowenmusic, on May 8 to break the news.Daddy Owen got engaged to Wambui two years ago, and since then they have managed to maintain a low profile of their relationship.

Saturday, 2 May 2015

Gospel song of the year eastern counties

1. Ameru crew - mwinire

2. Elizabeth clipper - kiss kya yutasi

3. Justus myelo - katiwa

4. Mbuvi - aning'ning'

5. Michael mutuku

6. Wilberforce musyoka - ikomanone

Dance group of the year nominees

1. All stars

2. Altermin

3. Flamers

4. Genje

5. Gospel worriors

6. Jims and Dims

Gospel Dj of the year nominees

They mix the hottest gospel mix sets and mostly play gospel music as their area of specialization. They are...

1. Dj gee gee

2. Dj krowbar

3. Dj mo

4. Dj ruff

5. Dj sadic

6. Dj touch

Radio presenter of the year nominees

They bring the hottest gospel shows on radio

1. Amani - hope FM

2. Dj ruff - ghetto radio

3. Eva mwalili - milele FM

4. Joy njoroge - hbr

5. Joyce gituro - Pambazuka

6. Lawrence thuku - truth FM

Gospel tv show of the year nominees

1. Angaza KBC

2. Crossover 101 - Ntv

3. Gospel Sunday

4. Tendereza - ktn

5. The switch

6. Tukuza

Gospel radio show of the year nominees.

THese are the radio shows which put us on Sunday mood when we fail to go for church

1. Gospel nightlive - ghetto radio

2. Gospel Sunday milele FM

3. Mwamba radio show - homeboyz radio

4. Pambazuka radio citizen

5. Shangilia hope FM

6. Tukuza radio Maisha

Video of the year nominees. Groove award 2015

Gospel artists are shooting videos of the highest quality nowadays. Here are some of the best video song

Alice kamande - sifa

Barua - Barua

Dk kwenye beat - kereka

Size 8 - jemedari

Tybe - new song

Willypaul ft size 8 - tam tam

Gospel Album of the year nominees..

Evelyne wanjiru - Mungu mkuu

Florence adenyi

Frank- mtakatifu

Hopekid - Am blessed

Kanjii mbugua - Rauka

Pst Anthony musembi - shekinar worship

Collabo of the year nominees

Hot gospel collabos. These are the pair who make a single together and it becomes the best. Starting from the voice march to the flow of the song...

1. Benachi ft kaberere - Mwanake

2. Diddikimer ft friends - olenkodikod

3. Esther wahome ft Gaby kinamzi - furahi

4. Eunice njeri ft lady bee, Rebecca soki - matunda

5. Falency ft friends - opportunity remix

6. Fidel na maboys - wakati remix

7. Kanjii ft Enid moraa - Mfalme mkuu

8. Kriss Eeh baba ft mag 44 & Abel chungu- mimina.

9. Redemption ft guardian angel - crossing over

10. Willy Paul ft size 8 - Tam tam

Hip hop gospel song of the year nominees

Dj lapoze - inaweza

Falenzy and friends - opportunity remix

Kelele takatifu - didimia

Chriss Eeh baba - mimina

Recapp - Tonight

SOC - zongelewa

Reggae or Ragga song of the year nominees. Groove award 2015

The best reggae gospel song of the year are.

Hopekid ft lvlyn - Delilah

Jay Genera - Abba

Jean - go-so

Redemption ft guardian angel - crossing over

TOksons - searching

Wallace - without your love

Vote for your favourite song on grooawards website.. Cheers.

Worship song of the year nominees

These are the groove award worship songs of the year.

1.Eunice Njeri - Unatosha

2. Evelyne Wanjiru - mungu mkuu

3. Flolence Adenyi- Kibali

4. Frank - mtakatifu

5. Kanji mbugua ft Enid moraa - Mfalme mkuu

Pastor Anthony musembi - Maombi

NEW ARTISTS OF THE YEAR NOMINEES. GROOVE AWARDS 2015

New artists nowadays have very good

support from music supporters. It easier to

get airplay in radio and tv stations than

many years before when new artists

believed that to get airplay you must bribe

the radio presenters. There are alot of

people who support upcoming artists

provided they have a talent.

Here are the new artists of the year nominees on grooawards 2015

1. Camp David

2.Falenzy

3. Fidel Atondola

4. Flolence Adenyi

5. Godson Jawabu

6. Innocent persons

7. Recapp

8. Ruth matete

9. Saint Steve

10. Tybe

Friday, 1 May 2015

Gospel song of the year. Groove awards 2015

These are the songs which were nominated for groove awards this year. Vote for your favourite gospel song in groove awards website.

Barua by bahati

Mwanake- benachi ft kaberere

Unatosha - Eunice njeri

Mtakatifu - frank

Liwe Liwe - Guardian angel

Delilah - Hopekid

Heshima - Jane Otieno

Mwema - Mercy Mashika

Kilele - Pitson

Tam tam - Willy Paul ft size

Male artists of the year nominees. Groove awards 2015

Here are the male gospel artists who have been nominated for groove awards 2015. Who will you vote for.
All of them are very active in the gospel industry. They include:
1. Bahati
2. Hopekid
3. L jay maasai
4. Pastor Anthony Musembi
5. Pitson
6. Willy Paul.

Vote for your favourite artists on groove awards website.

Monday, 27 April 2015

GROOVE AWARDS 2015

GROOVE AWARDS 2015

Female artists of the year nominees.
Eunice njeri
Evelyne wanjiru
Janet otieno
Lady bee
Loise Kim
Size 8
Visit www.grooveawards.co.ke to vote for your favourite fenmale artists.

Friday, 24 April 2015

Furahiday by Nonini ft Nameless lyrics

Artist: Nonini & Nameless
Song: Furahiday
Album: Mwisho ya Mawazo
Year: 2006Record
Label: Homeboyz

Intro Nonini another Homeboyz producshizzle leo niko na nani jamaa...leo niko na nani jamaa...niko na...ni Furahiday

Verse 1 (Nonini) cheka na mi ka unajua una-feel poa cheka na mi ka wee ni bachelor na hujaoa cheka na mi ka umekunywa na unakojoa usicheke na mi sabu ni end month pesa ntatoa jamaa leo network blunder jam saa kumi na moja ndio ilianza kweli leo ndio kila mtu hupiga simu ni Friday siku lazima tuheshimu shika mtoto wako mweke karibu nawe beste yako mnunulie beer pia naye mtu akileta noma hapa pigana naye manzi akileta maringo jo achana naye kuta mwengine mwambie nipe nawe
c___ kibao jo usinikazie wee safi twende ndani ya ndai manze bora usiwe mtaro I say Nameless jo niliskia ana yake Mo alinikazia itabidi nimetumia tu ma-satchet Kenya officially iliwafanya drinking nation na kila Friday jo huwaga ni vacation kuchoma nyama ndio kitu ya kwanza ushibe vipoa kiugali ndio usiwake haraka kuchoma maini ndio kitu ya pilina hii Furahiday tunaianzisha na ma Pili

Chorus (Nameless)it is OK (OK)ni Furahiday it is OK (OK) kufurahi day it's OK (OK) ni Furahiday it is OK (OK) kufurahi day

Verse 2 (Nameless) ni kama saa kumi ya jioni kuna kitu inasumbua rohoni niko job niko ndani ya ofisi and I'm feeling kind of uneasy ninaanza ku-perspirate veins zangu zina-vasodilate I seem to be allergic to something or something is allergic to me najaribu ku-communicate na my friends lakini hata ma SMS haziendi naangalia... nje ya dirisha magari ndizo hizo bumper to bumper hata mdosi hajiskii na kazi. madame wote ofisi wamevaa minisketi kwani Nonini ni nini today (O-K)

Chorus (Nameless)it is OK (OK) ni Furahiday it is OK (OK) kufurahi day it's OK (OK) ni Furahiday it is OK (OK) kufurahi day Friday (OK) it's Friday (OK) ni Friday (OK) it's Friday (OK)

Verse 3 niambie leo inaanza kutubamba saa ngapi na mamanzi unawaleta ka wangapi ukikam na wale ma-twins mambo safi nyundo leo inashikana na makabati Friday kabla nitoke lazima nimevaa joh uwezi jua naeza angukia manzi virgo na hawa mamanzi hawapatikani kwa bar jo tumbo inakuleta chukua gazeti jo jibanze na ujisunde nayo kwa choo na ikikataa kuenda maji tu kwa ndoo cruising kwa gari napitia Koinange kula na macho tu mzee unaonaje usione vile watoto huwanga wamejirembesha na kwa klub wanaume ndio hao wanachekesha Friday vitu hufanyika jo huwanga zinanishangaza wasichana kwanza vile huwaga wanazisambaza lakini hakuna shida ni Friday tena sahau shida zako zote na uanze kucheka leo ikikurarukia ikubali hakuna haja ya kuteta bora tu mfukoni msee kumejaa na mapesa

Chorus (Nameless) it is OK (OK) ni Furahiday it is OK (OK) kufurahi day it's OK (OK) ni Furahidayit is OK (OK) kufurahi day it is OK (OK)ni Furahidayit is OK (OK)kufurahi day it's OK (OK) ni Furahiday it is OK (OK) kufurahi day Outro (Nonini)ka ni Friday na unajua umeoa pete jo lazima utatoa ka ni Friday na unajua umeoa pete jo lazima utatoaka ni Friday na unajua umeoa pete jo lazima utatoa Nonini, na Nameless ni Fura-hi-day

Wednesday, 22 April 2015

Singer Willy Paul speaks out about the allegations that he has negleted his original mother back in mathare

It gas been going around the internet that singer willy Paul has nagleted his biological mother and the lady he says is his mother is not his real mother.Willy Paul has finally spoke about this. This is how he responded.
“I am absolutely shocked at the level that these publications have stooped to. I have and will always take care of my mother!” the star said.
Is it true that she is still at mathare??
“My big brother and I wanted tomove her from that house but she refused. She instead requested that we buy land and build her a house. A venture we have been working on,” Willy continued.
What about the lady you say that she is your mother?
“That woman is my godmother. She is the one who took care of me when I ventured out of my mother’s nest. I have always strived to protect my mother from the limelight, that is why I don’t post pictures of her,” the distressed singer said.

Bongo la biashara- Juacali ft Mejja lyrics

Artist: Jua Cali ft. Mejja
Song: Bongo la Biashara
Intro (Jua Cali) Bongo la biashara Au sio. Black market. Ama vile watu wa mtaani waiita Mra
Verse 1 (Jua cali) Naweza kupitia leo nikuonyeshe ile kitu. Time gani ni poa majioni ama usiku. Ni laptop noma ki – 14 inch hivi. Ma wires ziko na screen yake ni fiti Saa ile CD changer ulisema aje? Niite mtu wa sound aiweke kwa gari. Kwenye woofer na ma-chrome,Technology noma iongezee i-pod. Tape madirisha basi uache mezesha. Vuta kioo juu kuna moto nataka kukuonyesha. Ah uko na shughuli, baadaye basi. Kuna mtu hapa lazima nimfungie kambi.Nasikia uko na simu noma Gova akitokea utaniona.Chali yangu naenda Garissa. Hujasikia madolari mi ndio hubadilisha Bei ya kutupa kiu-seventy Baadaye nikute ngazini juu ya miti, mogoka.Chali yangu tumefunga base tuonane kesho
Chorus Ni ya leo, Ni ya leo.Tunaziuza hamsini.Ni ya leo, Ni ya leo. Tumezifungua tu saa hizi.Ni ya leo, Ni ya leo Wee jichukulie yako Ni ya leo, Ni ya leo Kwenye viatu na mng’aro
Verse 2 (Mejja)Niaje mathee, Niaje mathee.Siku ya futari ulikuwa na shida ya sufuria Niko nazo lakini wee ntakuuzia tu mia mia.Utatumia tu steel wool ya kutoa hizi alama. Lakini hizo alama zinakaa za kina Amina Ah si unajua vitu zingine mathee hufanana Ntakupitia jioni ah jo! Niaje Johnny!Si unajua ule fala alinipatia burungo flani Ati nikuwe broker Nitampiga bafu amesahau broker hugeuka Mwishowe akuwe the owner Ngoja ataona Wee niaje niko na rangi ya nyumba Wee tafuta sonko na mahali tunaeza uza Ama tutumie ka face-painting.Tupake watoi bora tu tupate senti Unakaa umesota Unakaa lituni Si unibebeshee hizi mbao tukauze ka kuni Au uko na cd ndani ya nyumba zimeharibikaTunaenza wadanganya hizi ni za mtambauka Ama twende ghettoTufungue kibandaTuwauzie kahawa nakuonyesha itawabamba Si ndalasini si karafuu.Tutawachanganyishia zote waskie nafuu Kisha ikishawabamba Si unajua nini inafuata Kuwasanyia njumu na mambota Washindwe ni mogoka imeshika ama ni kuota Wakishika ujanja, car wash tunaanza Kwa ile hali ya kuosha Rim inapotea Side mirror inapotea tenje inapotea Makarao wakikuja Gari inabembea
Chorus Ni ya leo, Ni ya leo Tunaziuza hamsini Ni ya leo, Ni ya leo Tumezifungua tu saa hizi Ni ya leo, Ni ya leo Wee jichukulie yako Ni ya leo, Ni ya leo Kwenye viatu na mng’aro

Tuesday, 21 April 2015

Rabbit (kaka sungura)- Nani tembea lyrics

Artist: Rabbit
Song: Staki Kukuona
Production: Kaka Empire/ Dice Ent
Intro Unajua mi napenda story sana lakini ka si biz au dohmi naona tu utembe yaani, unajuaDice Mzeiya,Kaka Sungura,Rabbit,hii ni ingine mzeiyasiunajua…….
ChorusKaa si pesa au biashara,basi tembea nani! nani tembea Kaa si ganji au mradi,basi tembea nani! nani tembea. Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona
Verse 1. Nimesaka winch wiki yote wakaniita paper chaser Yaani doh, ganji , mkwanja au pesa Staki story ndio nimechill mbele ya keja Udaku ikaletwa, {Dice hajaacha fegi,Oguyo bado ni pedi, Mp wangu ni Yule utembea na ma vedi}Oya! Mambo ya Dice mi uongelea kwa beat,Dome za mtaa pelekea chief, ata kura ifanywe leo Mp wako simpi tick, nani tembea nana staki kukuona Kaa si doh maskio yangu haikaribishi udaku Unabiz ingine?  Tembeza kiatu!Nataka future lavish ndio niweze kujimuduKwa sasa nakaribisha buda Uhuru, Moi ka inawezaSana sana ma dolare, Ata P-Unit wanajua Rabbit ni mkare
Chorus Kaa si pesa au biashara,basi tembea nani! nani tembea Kaa si ganji au mradi,basi tembea nani! nani tembea Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona
Verse 2 We ni mrembo sana na staki nikuaate Lakini sina time ya love labda tuplakane. Ile chapaa ninayo sahii hata hainitoshi.Nikikuongeza kwa budget  ntapunguza noti+ nikupeleke out  + njumu za kisource+ nikuachie za mfuko +  nguo zile posh+ taxi za usiku + ile good life of courseTuseme tu ukweli relationship haiwezi. Wewe + mimi = madeniSo ntakuacha kwa sasa nikatafute peni Ukiinsist tu sana, mami tembea na na staki kukuona Nilikuwa na mpango usiingie box yangu. We uliblanda ati ati ulinipenda tangu. Hatuwezi kula mapenzi , rent kila mwezi Ati i love you , I love you kaa si?
Chorus Kaa si pesa au biashara,basi tembea nani! nani tembea. Kaa si ganji au mradi,basi tembea nani! nani tembea. Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona. Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona. Bridge Na na staki kukuona ah aaah staki kukuona Na na staki kukuona ah aaah staki kukuona...Chorus Kaa si pesa au biashara,basi tembea nani! nani tembea Kaa si ganji au mradi,basi tembea nani! nani tembea. Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona. Na na staki kukuona ah aaah Staki kukuona Outro Unajua na hope unaelewa,si kwa ubaya lazima kwanza watu wajenge doh,lazima watu wafanye biz nikishajenga doh, ntakutafuta,ukweli ntakutafuta!

Xenophobic violence in south Africa

It has been a hard time for Africans who own businesses in south Africa and are non citizens. South African citizens have started chasing away non citizens saying that they have taken all their job and so they want them out of their country. This xenophobic incidence has so far left 8 people dead and many more injured. This has really turnished the south african name and even made some musicians who had planned to host shows in other countries to cancel them. We all play and hope that all this will end soon before the south African ecinomy is affected for soo much.

Sunday, 19 April 2015

Muga fm night

We have heard of Ramogi night, Mugithi night, Rhumba night but this time round meru imeamua haiachwi nyuma. Vaite Woote wameandaliwa siku ya kujibamba na kuungana pamoja Kula raha. MUGA FM NIGHT at carnivore. Everybody is eagerly waiting to see how merians dance and enjoy themselves. Hope all of you who will be able to attend will be there.

Saturday, 18 April 2015

Uliza kiatu. H_art the bandsong

ARTISTE: H_ART THE BANDSONG: ULIZA KIATU:
Verse 1:Well You See Love, Makes You Do Crazy Things,Ask My Shoes, Uliza kiatu,And What I Went Through To Buy You Those Rings,Ask My Shoes, Uliza Kiatu,Masaibu, Ninayoyapitia, Kukupeleka Dinner,Uliza Kiatu,Na Gatheri, Ninavyokatafuna, Eti Ndio Ukule Burger, PizzaUliza Kiatu...Chorus:Ask My Shoes, Ask My Shoes,Uliza Kiatu, Uliza Kiatu,Verse 2:Nimekopa Nikupe, Kumbe We Ndio Kupe,Nangangana Ndio Tule, Juhudi Zangu Bure,I Heard That Love Should Always Make Us Strong,But Now I Feel I Think That They Were Wrong, Ask Me Why...Nasema Taxi Nilipe, Rent Mi Nikupe,Nywele Zisongwe, Mombasa Si Twende,Mapenzi Nikupe, Mpaka We Uridhike,Nasema Taxi Nilipe, Rent Mi Nikupe,Nywele Zisongwe, Mombasa Si Twende,Mapenzi Nikupe, Mpaka We Uridhike,Chorus(x2)Verse 3:Nilimuonyesha Mapenzi Akanionyesha Mfuko,Alisema Doe Ya Salon Ni Thao Tu,Na Kwa Mfuko Nilikuwa Na Mbao Ju,Alisema Anaenda PE,Akirudi Nilimpata Akimeza P2So Niko Stuck Kati Kati Kama Stick Ya Mshikaki,Nampenda Huyu Mshikaji But,Kiatu Tu Ndio Inajua Story,Yaani Vile, Mi Humchocha Nimemflash Bahati Mbaya,Juu Niko Na Deni Ya Bob Collymore,Yaani Vile Mi Hukanyaga Matope Kabla Nifike Kwa Lami,Na Ile Stress Mi Hupitia Kabla Nimbongeshe Ki Lami,Yani Vile, Mi Humpandisha Taxi, Then Naenda Kudandia Gari Ya Moshi,Yani Vile Mi Humhustlia Hadi Kiatu Yangu Inaanza Kutoa Moshi,Yani Vile Mi Humuita Baby,Juu Najua Nikimuita Njeri, Hiyo "R" Inaezageuka "L" Na Hiyo Moment Naeza Kua Nimeispoil,Yaani Vile, Nimtarmac Hadi Tumbo Yangu Inaezageuka SanadakYaani Vile, Yaani Kaa Nikuokopa Nimekopa,Yaani Kaa Nikuokoka Nimeokoka,Yaani Kaa Ni Tisa Nimepigana,Ndio Niridhishe Hiyo Figure Yake NumberNane,Na Hata Usiku Nipate Amenichorea Nane,Toa Moja,Vile Nimesag Mpaka Toja,Nikamdanganya Eti Mi Naishingi Umoja,Nikamuonyesha Mpaka Mi Si Mwana Vi-O-JA,Ati Na Work Mahakamani Kusolve Vitimbi Za Dunia,Bila Shaka, Mashtaka, Yaani Vile Hata Leo Dunia Ikisimama Tutasimama Pamoja,Yaani Vile, Kaa Mapenzi Ni Nywele Basi Nimemsetia Nati,Yaani Vile Kaa Mapenzi Ni Kikohozi, BasiBila Shaka Niko Na T.B,Niko Na Fever Juu Ananiumiza,Yaani Vile, Kaa Mapenzi Ni Mistari, Basi Nimemwandikia Sentensi,Matenzi, Mpenzi, Nakuenzi, Vishenzi, Niko Chizi, Crazy,Mwizi Wa Mapenzi, Nifunge, I'm Guilty, Kiatu Itatestify,CHORUS:

Dandia lyrics. Kristoff ft. Frasha & Rabbit

ARTIST: Kristoff ft. Frasha & RabbitSONG: DandiaPRODUCTION/LABEL: Pacho Entertainment/Kaka EmpireYEAR: 2015Chorus(Frasha):
Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na,Verse 1(Kristoff):Leo Mi Na Dandia Kaa Matatu,Hata Wakuje Kama Watatu,Wanapenda Hizi Zangu Tattoo,Hawa Wasupa, Wasiwe Wote Ni Kiatu,(Frasha):Hmmmmmmmmm, Si Kiatu,Kama H_art The Band, Uliza Kiatu,Chora Seven, Ki Masaku,African Bantu, Design Ya Bamboo,Siwezi Isha, Mi Si Bundles,Juu Wakiniona Wanamelt Kama Candles,Niko Coast Nimepiga Tu Ma Sandles,Baby Niko Instagram Check Out My Handle,Chorus(Kristoff):Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na,Verse 2(Frasha):Take A 10, Take A Bus, Toka Ndutheeee,Mi Natetemesha Men Kama Ridhee,Kudandiaga Track Iko Ndethe,Msapere Kwa Kazi Kaa Kangethe,Hii Lazima Waingize Njeve,Nawatafuna Man, Tu Kama Ka Veve,Leo Tu Mi Na Dandia,Sina Kakitu So Leo Ni Ku Dandia,Dem Yako Akikaa Mbaya Mi Na Dandia,Wagenge Wale Wale Wa Kukuchapia,Naweka Pale Pale  Ya Kawadia,Naweka Bahali Yake Kawadia,Chorus(Kristoff):Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na,Verse 3(Rabbit):Oya Beba Beba,We Ndio Dere?Basi Come Uniletee Kierere,Twendere, Hadi Butere,Leo Ntakudandia Kaa Mat,Baadaye, Nakuchew Kaa Khat!,Beat Ina Boom Boom Clap!,We Nime Expe? Basi Sete,Makali Au Gin, Waiter Letee,Umekua Ukinihepa Kaa Odede,Tuna Misbehave Kaa Masaku,My Dress My Choice Imekukwachu,Aaai Aaaai Lemme Touch You,Chorus(Kristoff):Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mat,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dandia Tu Kama Mathree,Leo Mi Na Dan, Mi Na Dan, Mi Na Dan, MiNa Dan, Mi Na,

Lover by bahati tops again

Bahati is a Kenyan musician who does gospel music. Some day before he engaged into some conflict with his close competitor in the music industry Willy Paul. Hes accused Willy Paul of stealing some of his songs he was about to release and Willy made and released them. This was solved buy some of their colleagues and they agreed to make a collabo together. Bahati has a new song called lover and its doing quite well. Today on radio Maisha countdown his song took the first position with the highest number of votes. He also topped last week on the same countdown

Weekend countdown 6-10

Lets continue to countdown the hottest songs in 254
5. Wekaweka by p-unit
6. One centimetre - Jaguar
7. Mapenzi by bahati
8. Nyongwa by Mejja na mandraxx
9. Waiter by kaka sungura
10. Mama (nyumbani kwangu) by Willy Paul
Lets countdown again next weekend.

Weekend countdown.

Let countdown the hottest Kenyan songs this week. This is according to the no of times they have been played and requested on media. Here we go..
1. Fimbo ya tatu by Grandpa family
2. Twende- Rabbit feat sudi boy
3. Hello- avril ft dimpoz
4. Nikimuona- avril
5. Wekaweka- p-unit..... keep in touch for th rest 6-10