Thursday, 10 September 2015

Mwema by Mercy Masika (Lyrics)

Mwema- Mercy Masika Lyrics
Verse 1
Wako mwana, ukamtuma ,duniani, kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishara kwamba unanipenda zaidi ivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi

Chorus
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Umekua mwema kwangu,
Verse 2
Umanitoa gizani , nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia.Ilikugharimu , msalabani unifie.
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie.
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue.
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne

Chorus
Na siwezi jizuia ,kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema

Bridge
Umekua mwema kwangu, wachaniringe
Umekua mwema kwangu, ooh yahwe kwangu, ooh umenitendea
Na siwezi jizuia ,kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Siwezi jizuia